Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoUtumishi wa Umma

Utumishi wa Umma ni mfumo wa utawala na manejimenti ambao unahakikisha kuwa Serikali na taasisi zake zinahudmia wananchi kwa mjibu wa sera, sheria, taratibu, kanuni na miongozo mbalimbali. Ili kuhakikisha kuwa huduma zinazotolewa ni bora na zinazokidhi haja ya wananchi, Serikali ilianzisha mpango wa maboresho -PSRP, mwaka 2000.  Lengo la mpango huo ni kuwezesha wizara, idara na wakala za Serikali kutoa huduma bora kwa ufanisi.

Programu ya Maboresho ya Utumishi wa Umma
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-26 20:01:48
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page