Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliSheria

Sheria zinazotumika Tanzania ni sheria zilizotungwa na kupitishwa na Bunge au Baraza la Wawakilishi. Kuna Sheria za  Kimila na za mapokeo (kama vile Sheria zisizoandikwa). Sheria ya Mapitio ya Sheria ya Mwaka 1994, Sura ya Nne ya sheria ya  20 Tanzania (Toleo lililopitiwa mwaka 2002) imerasimisha kuwa sheria zote zilizokuwa  zikitumika na kutungwa na Serikali za kikoloni kabla ya uhuru zilizoitwa “Ordinance”, hivi sasa zinakuwa Amri / maagizo Rasmi, na zinatambuliwa rasmi kisheria kama Sheria za Tanzania. Sheria hizo kuu na Sheria ndogo ndogo zinahusiana, zinachapishwa kwenye Gazeti la Serikali na kuchapwa na Mpiga Chapa wa Serikali. Kwenye sehemu hii utapata taarifa kuhusiana na Sheria zote zinazotumika nchini Tanzania na marekebisho yake.

Chagua kutoka kwenye orodha, kutafuta Sheria zinazotumika Tanzania.


Kutoka Mwaka: Mpaka
Maneno Muhimu:

No Sheria Mwaka Faili / Anuani Miliki
1481 Sheria ya Uthibitisho na Usimamizi wa Miliki ya Ardhi, Na. 9 (kwa Kiingereza) 1963 616.0 KB
1482 Sheria ya Mawasiliano ya Kielectroniki na Posta, Na. 3 (kwa Kiingereza) 2010 398.0 KB
1483 Sheria ya Uhamiaji, Na. 7 (kwa Kiingereza) 1995 150.4 KB
1484 Sheria ya Udhibiti wa Silaha (kwa Kiingereza) 1994 38.0 KB
1485 Sheria(Kanuni) ya Bidhaa za Tumbaku, Na. 2 (kwa Kiingereza) 2003 74.8 KB
1486 Sheria ya Mikopo, Dhamana na Ruzuku, Na. 9 (kwa Kiingereza) 2003 99.0 KB
1487 Sheria za Mahakama za Kutatua Migogoro ya Ardhi, Na. 2 (kwa Kiingereza) 2002 104.6 KB
1488 Sheria ya Matumizi ya Nyongeza Kwa Mwaka 2000/2001), Na. 14 (kwa Kiingereza) 2003 98.0 KB
1489 Sheria ya Utungaji na Matumizi ya Sheria (kwa Kiingereza) 1961 44.2 KB
1490 Sheria ya Shule ya Uanasheria, Na. 18 (kwa Kiingereza) 2007 641.1 KB
1491 Sheria ya Ufilisi. (kwa Kiingereza) 1920 264.4 KB
1492 Sheria ya kurekebisha Sheria ya Ajali Kubwa na Masharti Mbalimbali (kwa Kiingereza) 1995 44.6 KB
1493 Sheria ya Marekebisho ya Katiba, Na. 8 2012 162.1 KB
1494 Sheria ya Maslahi na Mafao ya Uzeeni ya Majaji, Na. 16 (kwa Kiingereza) 2007 296.1 KB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-05 06:00:00
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page