Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliSheria

Sheria zinazotumika Tanzania ni sheria zilizotungwa na kupitishwa na Bunge au Baraza la Wawakilishi. Kuna Sheria za  Kimila na za mapokeo (kama vile Sheria zisizoandikwa). Sheria ya Mapitio ya Sheria ya Mwaka 1994, Sura ya Nne ya sheria ya  20 Tanzania (Toleo lililopitiwa mwaka 2002) imerasimisha kuwa sheria zote zilizokuwa  zikitumika na kutungwa na Serikali za kikoloni kabla ya uhuru zilizoitwa “Ordinance”, hivi sasa zinakuwa Amri / maagizo Rasmi, na zinatambuliwa rasmi kisheria kama Sheria za Tanzania. Sheria hizo kuu na Sheria ndogo ndogo zinahusiana, zinachapishwa kwenye Gazeti la Serikali na kuchapwa na Mpiga Chapa wa Serikali. Kwenye sehemu hii utapata taarifa kuhusiana na Sheria zote zinazotumika nchini Tanzania na marekebisho yake.

Chagua kutoka kwenye orodha, kutafuta Sheria zinazotumika Tanzania.


Kutoka Mwaka: Mpaka
Maneno Muhimu:

No Sheria Mwaka Faili / Anuani Miliki
21 Sheria ya Vipimo 2002 242.6 KB
22 Sheria ya Bodi ya Wabunifu Majengo na Wakadiriaji Majenzi 1997 152.3 KB
23 Sheria ya Bodi ya Usajili wa Makandarasi 1997 109.7 KB
24 The Road and Fuels Tolls Act 2006 100.3 KB
25 Sheria ya Msajili wa Hazina Na.2 (2010) 2010 858.7 KB
26 Kanuni za Uasilia 2015 792.3 KB
27 The Petroleum Act 2015 No. 21 2015 498.9 KB
28 The Oil and Gas Revenues Management Act 2015 No. 22 2015 70.6 KB
29 Sheria ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje 2013 616.0 KB
30 The Special Economic Zones Act 2013 616.0 KB
31 The Deep Sea Fishing Authority (Amendment) Act, No 17 2007 276.8 KB
32 The Veterinary Act, No 16 2003 251.5 KB
33 The Deep Sea Fishing Authority Act, No1 1998 170.2 KB
34 The Hides and Skin Trade Act, No 30 cap 120 1965 172.1 KB
35 The Hides, Skins and Leather Trade Act, No 18 2008 538.0 KB
36 The Dairy indusrty Act 2004 128.7 KB
37 The Animal Disease Act, No 17 2003 269.1 KB
38 Animal - feeds - act, No 13 2010 538.4 KB
39 Public Service Retirement Benefit Act 1999 647.5 KB
40 Sheria ya fedha, No.16 2015 4.5 MB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-05 06:00:00
Kufaa
4.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.0
1 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page