Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoUchumi

Tanzania inaendelea vizuri kudumisha ukuaji wa uchumi imara, ambao pamoja na marekebisho ya sera na kitaasisi, imekuwa sababu ya msingi ya viwango imara vya ukuaji wa uchumi . visababishi vikuu vya ukuaji na shughuli za kilimo, uzalishaji viwandani, biashara ya rejareja na ya jumla, usafirishaji na mawasiliano. Uchumi umeendelea pia kuonyesha ukuaji imara wa uuzaji bidhaa nje. Utendaji wa jumla wa uchumi mkuu umekuwa imara, na mfumuko wa bei kupungua kwa tarakimu moja na ukuaji wa pato la nchiumetarajiwa kuwa asilmia 7 katika kipindi cha kati. Visababishi vikuu vya ukuaji huu ni simu, usafirishaji na taasisi za ukopeshaji fedha, uzalishaji viwandani na ujenzi na biashara.

Msisitizo ulioendelea kwenye usimamizi wa uchumi unaofaa na kuimarisha utawala wa kisiasa, utahakikisha kuwa rasilimali za gesi asili zilizogunguliwa zitatoa mchango mkubwa na muhimu katika marekebisho ya uchumi – jamii Tanzania katika kipindi cha kati. Wakati muundo wa uchumi umefanyika baadhi ya mabadiliko kwa miaka mingi, maendeleo ya polepole. Katika kupunguza umaskini na vikwazo vingi vya miundombinu vinaonyesha kuwa Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa marekebisho. Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu program ya maendeleo ya uchumi, mpango mkakati wa ripoti. Unaweza kupakua kwa matumizi yako. 

Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA) Mradi wa Msaada wa Serikali za Mitaa
Mkakati wa Mawasiliano wa MKUKUTA II Mkakati wa Madeni wa Taifa
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-28 15:21:12
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page