Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoAfya

Katika Sera za maboresho ya Serikali ya Tanzania, Sekta ya afya ni miongoni mwa sekta  za kipaumbele. Miongoni mwa malengo yake makuu ni kufikia maisha bora zaidi kwa Watanzania wote kwa kuzingatia zaidi wale walio hatarini zaidi. Kwa hiyo, lengo la jumla la Sera ya Afya ya Taifa ni kuboresha afya na ustawi wa Watanzania, kwa kuzingatia zaidi wale walio hatarini zaidi, na kuwezesha utoaji wa huduma za afya za msingi zinazozingatia usawa, haki, zilizo bora, nafuu na kwa kujali jinsia. Huduma ni lazima zitolewe ndani ya mfumo wa afya unaofanya kazi kulingana na mazingira yanayobadilika na matakwa na mahitaji ya watu wanaotumia huduma hizo. Sehemu hii inakuelezea kuhusu mpango wa maendeleo ya Afya, mipango mkakati yake na ripoti. 

Mpango wa Maendeleo ya Afya ya Msingi (MMAM) Mkakati Wa Taifa Wa Kudhibiti Ukimwi
Mkakati wa Taifa wa Kudhibiti Malaria. Mkkakati wa Kutokomeza Malaria (PMI)
Afya ya Mama na Mtoto
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-28 16:07:58
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page