Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiKilimoUtafiti kilimo

Idara ya Utafiti wa Maendeleo (DRD) ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika (MAFSC) imetokana na iliyokuwa Idara ya Utafiti na Mafunzo (DRT) ambayo kuanzia Julai mwaka 1998 shughuli za mafunzo zilipangwa kwenye Idara mpya iliyoundwa iitwayo Idara ya Mafunzo na Taasisi (DTI).DRD ilichukua shughuli za utafiti ambazo iliyokuwa DRT ilichukua kutoka Shirika la Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARO) na Shirika la Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRO) wakati zilipovunjwa mwaka 1988. DRD ni miongoni mwa vitengo vine chini ya MAFCC. Ina wajibu wa kuratibu na kuendesha utafiti kuhusu mazao, mifugo, uchumi wa jamii, kilimo cha misitu, udhibiti wa udongo na maji na uhandisi kilimo.

Utafiti wa Mazao Utafiti wa jamii na Uchumi
Utafiti wa Udongo na Utunzaji Maji Utafiti wa Kilimo Misitu
Utafiti wa Uhandisi Kilimo
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-30 17:41:30
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
2.0
1 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 1
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page