Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiKilimoMafunzo ya Kilimo

Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika (MAFC) inatoa mafunzo ya Kilimo chini ya Idara ya Mafunzo yenye jukumu la kutoa program za mafunzo ya muda mfupi na muda mrefu.  Lengo ni kushughulikia ipasavyo mahitaji ya mafunzo ya wadau kwenye sekta ya kilimo ifikapo mwaka 2025 kwa kuwezesha Taasisi za mafunzo kutoa mafunzo kwa kujiamini na kwa weledi kwa Maofisa ugani wa kilimo, vijana waweze kujiajiri na wakulima kwa kuweka mazingira ya kujifunza yanayofaa kwenye Taasisi za mafunzo, kutoa program za mafunzo kulingana na mahitaji, kuongeza uwezo wa kuwafunza watumishi kutoa na kuongeza ushiriki wa wadau katika ngazi/hatua zote.  Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika na Chuo cha Mafunzo ya Kilimo cha Kilimanjaro.

 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-02 13:00:54
Kufaa
5.0
3 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.5
2 Jumla
Rahisi Sana 1
Rahisi Kiasi 1
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page