Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiKilimoUendelezaji wa Mazao

Wizara ya Kilimo inatoa utaalamu na huduma kuhusu uendelezaji wa mazao kwa kutunga, kupitia na kufuatilia utekelezaji wa Sera za uendelezaji wa mazao, sheria na kanuni, kutayarisha mikakati na programu za uboreshaji wa mazao, kujenga uwezo wa Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za mitaa kuhusu uendelezaji mazao na kuhimiza kilimo endelevu.Kwa maelezo zaidi, tembelea tovuti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika.

Huduma za Ugani Huduma za Afya ya Mimea
Huduma za Uhimizaji Mazao
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-02 13:47:40
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page