Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiKilimoKilimo cha Bustani

Tasmia ya kilimo cha bustani ina umuhimu mkubwa kwa uchumi wa sekta ya kilimo.

Kumbukumbu zinaonyesha kuwa, kwa sasa tasnia hiyo inaipatia nchi dola za Marekani miliono 380, ambazo ni sawa na 40% ya jumla ya kuuza nje wa sekta ya kilimo na kiasi cha 9% ya thamani ya kuuza nje ya nchi. Ukuaji wa tasnia hiyo ni asilimia 9 kwa mwaka, ambayo ni miongoni mwa sekta zinazokua haraka sana katika uchumi.

Pia, tasnia hii, ina fursa nyingi ambazo bado hazijatumiwa. Hata hivyo tasnia hii inaweza kuchangia kwenye juhudi za nchi za  kuondoa mzunguko wa njaa na umaskini, na hivyo husaidia kufikia malengo ya maendeleo ya taifa.

Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti ya Tanzania Horticulture Association.

Maua na Mimea ya Mapambo Matunda na Mboga za majani
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-02 16:54:44
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page