Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoJinsia na Watoto

Mpango Mkakati wa Julai 2011 hadi June 2016 ni juhudi za Wizara za kuchangia katika utimizaji wa Dira ya 2025, Malengo ya Maendeleo ya Milenia (MDG),MKUKUTA II. Ilani ya CCM ya mwaka 2010 na  makubaliano ya Kimataifa na Kikanda kuhusu Wanawake na Watoto ambayo nchi imetia saini na kurithia. Uchambuzi wa kutosha kuhusu mahitaji ya sasa na ya baadaye ya sekta ya  maendeleo ya Jamii, ulifanywa wakati wa kutayarisha  mpango mkakati ili kuongeza utengaji wa rasilimali na kuboresha utoaji wa huduma.

Kwa kuzingatia mahitaji yaliyobainishwa, Sera, mikakati ya taifa na rasilimali zinazotajwa, Wizara ilibainisha maeneo ya kipaumbele yafuatayo: uwezeshaji wa uajiri wa wataalamu wa maendeleo ya jamii katika ngazi ya kata , kuboresha mazingara ya ufundishaji na kujifunza katika vyuo vya maendeleo ya wananchi (FDC) na Taasisi za mafunzo ya maendeleo ya Jamii (CDIT), usawa wa kijinsia na haki, uwezeshaji wanawake kiuchumi, haki za watoto  na ustawi, uratibu na ushirikiano na wadau na Asasi zisizo za Serikali(AZISE). Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu programu za maendeleo ya Jinsia  na Watoto , mpango mkakati na ripoti. Unaweza kupakua kwa matumizi yako.

Mkakati wa Taifa kwa Usawa wa Jinsia
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-04 16:07:58
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page