Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoUchukuzi

Kumekuwa na juhudi za muda mrefu kwa upande wa serikali ya Tanzania kuunda miundombinu muhimu ya usafirishaji na huduma kuboresha upataji wa kazi, miundombinu ya elimu na afya na pia kuwezesha biashara ya ndani nay a kimataifa pamoja na kuimarisha utangamano wa kanda na kuvutia uwekezaji wa kigeni. Hali hii ya maendeleo ya kiuchumi na kijamii inadhihirisha ukweli kwamba usafirishaji ni mhimili wa maendeleo ya jumla ya Tanzania. Bila shaka ni sekta muhimu ya maendeleo inayokuwa kama chachu ya ukuaji wa liuchumi na kijamii na huchukua sehemu kubwa ya uwekezaji wa Serikali.

Sekta ya usafirishaji nchini Tanzania imesaidia kutangamanisha ushindani wa kuimarisha soko kuongeza upataji wa mbinu za kilimo, kukuza biashara, utalii na uwekezaji wa kigeni, na imechangia mapato ya serikali. Hii imewezekana kupitia utelekezaji wa programu nyingi za maendeleo ya usafirishaji na matengenezo na marekebisho zinazolenga kuendeleza utoaji wa mfumo wa usafirishaji salama, wenye ufanisi na gharama nafuu nchini. Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu programu ya maendeleo ya usafirishaji, mpango wa kimkakati na ripoti. Unaweza kupakua kwa matumizi yako. 

Mpango wa Uwekezaji Sekta ya Uchukuzi Mpango wa Uchukuzi wa Serikali za Mitaa (LGTP)
jaribio10 Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-05 16:54:44
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page