Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoUtalii

Tanzania inatekeleza programu ya ukuaji uchumi na upanuzi ambapo utalii ni sekta ya kipaumbele. Shirika la Dhamana ya uwekezaji ya uwekezaji wa pande mbalimbali(MIGA) ni mwanachama wa kundi la benki ya Dunia ilialikwa kushirikiana na serikali ya Tanzania na Benki ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika(DBSA), Kubainisha fursa za uwekezaji katika utalii na kusaidia kutangaza sekta kwa wawekezaji.

Madhumuniya programu ya utangazaji wa uwekezaji ni kuongeza fursa kwa ajili ya uwekezaji wa binafsi wenye faida kwenye maeneo yaliyopo na mapya nchini Tanzania, kupania na kuimarisha mawasiliano ya kisekta na kuhimiza shughuli nyingine za kuongeza thamani ndani ya Tanzania. Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu program ya maendeleo ya utalii, mpango wa kimkakati na ripoti. Unaweza kupakua kwa matumizi yako. 

Mpango wa Utalii na MIGA Mpango wa Utalii katika Jamii
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-05 19:15:02
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page