Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoMifugo

Uzalishaji wa mifugo ni miongoni mwa shughuli kuu za kilimo nchini Tanzania inayochangia kufikia malengo ya maendeleo ya Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini.(MKUKUTA). Sekta ya mifugo inatoa kipato cha jumla ya kaya 1,745,776 (37%) kati ya kaya 4,901,837 za kilimo(Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Sensa ya Utafiti wa Sampuli wa Mifugo,2005 (URT, Livestock Sample Survey Census,2005)) na miongoni mwa shughuli kuu za kiuchumi katika maeneo ya vijijini. Kwa Kuzingatia umuhimu wa Sekta ya mifugo kwa uchumi wa Tanzania na kwa kipato cha wananchi, Wizara ya maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, mwaka 2010 ilitayarisha mkakati wa maendeleo ya Sekta ya Mifugo (LSDS) kwa ajili ya utekelezaji wa Sera ya Taifa ya Mifugo ya Mwaka 2006. Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu programu ya maendeleo ya maendeleo ya Mifugo, mpango mkakati na ripoti. Unaweza kupakuwa kwa matumizi yako.  

Programu ya Maendeleo ya Sekta ya Mifugo (LSDP) Mkakati wa Maendeleo ya Sekta ya Mifugo
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-05 20:01:48
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page