Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoNishati na Madini

Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizochaguliwa kufanyiwa majaribio, Machi 2012 kunufaika na program ya kuongeza kasi ya Nishati Jadidifu kwa nchi zenye kipato cha chini (SREP). Tanzania ilichaguliwa (i) kutokana na changamoto kubwa zinazoikabili nchi zikiwemo (tatizo la nishati, athari za mabadiliko ya tabia nchini na uharibifu wa ardhi, ongezeko kubwa la idadi ya watu, na hivyo ongezeko kubwa la mahitaji ya mafuta/makaa ya mawe yanayoongeza kiwango cha umaskini cha watu n.k) na (ii) Juhudi zilizokwisha fanywa na serikali kutayarisha mfumo wa kisheria na kitaasisi wa kutosha, dhamira ya dhati ya kuzidi kuendeleza nyenzo za nishati jadidifu na kuvuta uwekezaji katika sekta binafsi n.k. Programu ya SREP itawezesha Tanzania kuanzisha mchakato wa kufikia mabadiliko ya marekebisho , na hivyo kuisaidia nchi kufikia maendeleo ya uchafuzi mdogo wa hewa kwa moshi. Hii itawezekana kwa kutumia fursa za nishati ghali ya mafuta/makaa ya mawe inayochafua hewa na matumizi yasiyofanisi ya biomass

Tanzania imejaaliwa kuwa na rasilimali nyingi za nishati. Teknolojia za nishati rahisi na zenye tija (kama vile PV za jua, draya za jua, majiko bora, oveni, biogas n.k) zinapopatikana kwa ajili ya kutoa huduma za nishati safi na zenye ufanisi kwenye maeneo ya mijini na vijijini yasiyo na nishati. Teknolojia hizo zilizogatuliwa zinazotumia rasilimali za nishati za nchini zinahimiza kuptitia program ya SUCOSTETA yenye dhamira ya kuwawezesha watanzania wengi kupata teknolojia za nishati za kisasa na huduma endelevu, kupitia matumizi ya teknolojia za nishati, kujenga uwezo, uhamasishaji jamii, ujasiriamali na uraghibishi kwa ajili ya sera saidizi, kupunguza umaskini, uhifadhi wa mazingira na kujitegemea. Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu program ya maendeleo ya Nishati na Madini, mpango mkakati na ripoti. Unaweza kupakua kwa matumizi yako.

Mpango wa Nishati kwa Maendeleo Mradi wa Maendeleo Endelevu ya Uchimbaji Madini na Migodi
Kuzidisha Programu ya Nishati Jadidifu katika Nchi zenye Kipato cha Chini (SREP)
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-05 20:48:34
Kufaa
4.0
1 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 1
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page