Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya Maendeleoviwanda

Sekta ya uzalishaji viwanda katika Tanzania, bado ni ndogo yenye shughuli zake nyingi zikiwa katika utengenezaji wa bidhaa ndogo za matumizi kama vile vyakula, vinywaji, tumbaku, nguo, samani na bidhaa zinazohusu mbao. Licha ya kupungua kwa ukubwa, Sekta hii imeendelea kuwa muhimu zaidi kwa uchumi wa Tanzania na bado ni miongoni mwa chanzo cha kuaminika cha mapato ya Serikali kwa upande wa mauzo ya bidhaa zinazoingizwa, pamoja na kodi za kampuni na za mapato, zinazofikia zaidi ya nusu ya makusanyo ya mapato ya serikali ya mwaka.

Mwaka1986, Serikali ya Tanzania ilifanya uamuzi wa kufanya biashara huria na sera za uwekezaji ndani ya nchi. Mashirika mengi yalianza kuanguka na kushindwa Kutokana na kushindwa kumudu Ushindani wa wazalishaji bidhaa zinazoingizwa nchini. Kwa hiyo, kwa kuzingatia haya, hatua mbalimbali zilichukuliwa kuongeza ushindani wa viwanda vya nchini na uwezo wao wa kuingia kwenye masoko ya nje. Mwanzoni mwa miaka ya 1990, Serikali ilizindua programu iliyokusudia kuunda upya na kubinafsisha Kampuni zilizomilikiwa na Serikali. Kati ya mwaka 1990, Serikali ilizindua programu iliyokusudia kuunda upya na kubinafsisha kampuni zilizomilikiwa na Serikali. Kati ya mwaka 1990 na hadi mwanzo wa Karne ya 21, matumizi ya jumla ya uwezo wa viwanda uliofungwa kitambo, ulipanda kutoka asilimia 20 hadi takribani asilimia 50% kutokana na kuzinduliwa kwa programu hii. Sehemu hii inakupa taarifa kuhusu programu ya maendeleo ya viwanda, mpango mkakati na ripoti. Unaweza kupakua kwa matumizi yako.

Muunganisho Ujasiriamali Vijijini (MUVI)
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-06 07:33:32
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page