Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo Mambo ya NjeWatanzania Nchi za Nje

Watanzania wanaoishi nchi za nje ni raia au wasio raia wenye asili ya Tanzania lakini kwa sasa wanaishi na kufanyakazi au kufanya biashara nchi za nje. Serikali inakusudia kuwaweka kwenye benki ya data kuu ili kuainisha na kuwapa nafasi ya kushiriki katika kujenga maendeleo ya baadaye ya taifa.

Watanzania hawa wameonyesha shauku ya kuwasaidia ndugu na jamaa wao  au kikundi cha Watanzania wanaorudi kuwekeza kwenye uchumi wa taifa. Kwa hiyo ni muhimu kwa Watanzania wanaoishi nchi za nje kujua haki zao katika kupata na kufikia huduma zinazotolewa na nchi yao.

Misaada kwa Mashirika ya Hisani na AZISE Mtandao wa Wataalamu Tanzania
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-10-05 20:48:34
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page