Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoUchumiMkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA)

Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini ni dhamira ya taifa na Serikali  ya kuharakisha ukuaji wa uchumi na kuondoa umaskini. MKUKUTA I umeonyesha mafanikio  chanya.

Toka mwaka 2005 uchumi umekuwa ukikua kwa asilimia 7, kuendana na lengo lililowekwa la asilimia 6 -8 kwa mwaka. Hata hivyo  ukuaji huo ungeweza kuwa mkubwa zaidi kama uchumi usingeathiriwa na changamoto za kukatisha tamaa za ndani na nje ya nchi wakati wa utekelezaji wake.  Kwanza kulikuwa na ukame mkali ambao uliathiri vibaya uzalishaji mazao, mifugo na nishati ya umeme kwa kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa  kwa miongo ya hivi karibuni.

Kimataifa uchumi uliathiriwa vibaya kwa upandaji wa bei ya mafuta na vyakula kutokana na mgogoro  wa fedha na uchumi duniani. Kilichoathirika zaidi ni wingi na bei ya mauzo ya nje, upatikanaji wa mitaji na uwekezaji, ujaji wa watalii na mapato kutoka utalii.

 

 


No Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza Umaskini Tanzania (MKUKUTA) Faili / Anuani Miliki
1 MKUKUTA 2005 1.4 MB
2 MKUKUTA 2010 1.1 MB
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-09 06:46:46
Kufaa
5.0
3 Jumla
Inafaa Sana 3
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
4.0
2 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 2
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page