Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo SerikaliMipango ya MaendeleoSheria

Ahadi ya Serikali kurekebisha Sekta ya Sheria inaanzia Aprili mwaka 1993, wakati ilipounda kikosi kazi cha Sekta ya Sheria chenye Watanzania maarufu chini ya Uenyekiti wa Bwana Mark Bomani Kikosi Kazi hiki kimefanya kazi ya kupigiwa mfano.Kimefanya mapitio makubwa na kamili na hivyo kubainisha matatizo na masuala kwenye miundo ya sheria na ya Kitaasisi ndani ya Sekta. Aidha, katika taarifa yake ya Januari 1996, kikosi kazi hicho kimeandika mabadiliko yanayotakiwa kwa ajili ya kurekebisha sekta ya Sheria.

Mpango wa Maboresho wa Sekta ya Sheria
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-10 18:28:16
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page