Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
Mwanzo WananchiMakaziUbia wa Kimkakati

Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) Liliundwa upya kwa Sheria Namba 2 ya mwaka 1990 kufanya wajibu wa kutoa na kuwezesha utoaji wa nyumba na majengo mengine nchini Tanzania. Sheria hii ilirekebishwa sharia zilizoandikwa (marekebisho ya Jumla) Namba 2, ya mwaka 2005 kuwezesha shirika kufanya biashara kwa kanuni za biashara zinazofaa.

Katika madhumuni yake ya kuwa mwendelezaji wa milki anayeongoza nchi Tanzania ifikapo juu  2015, NHC imetayarisha makakati wa kujenga bima chini cha nyumba 10,000 za kati na nyumba za daraja ya juu kwa mauzo na kupangisha; kujenga kima  chini cha nyumba  za kijamii 5,000; kutekeleza wajibu wa mwendelezaji mkuu na kutafuta fedha za uwekezaji hadi kufikia Tzs trilioni 1.5 (USD bilioni 1.0) mbinu mbalimbali zimetayarishwa kufikia malengo haya. Mbinu hizi ni pamoja na za kawaida zenye fedha kutoka NHC na zile zinazowahusisha wawekezaji binafsi ili kuongeza hisa za shirika la nyumba.

Ubia Mfumo wa Kugawana Mapato
 
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa : 2015-11-12 11:27:22
Kufaa
0.0
0 Jumla
Inafaa Sana 0
Inafaa Kiasi 0
Sina Hakika 0
Haifai Sana 0
Haifai Kabisa 0
Urahisi wa kutumia
0.0
0 Jumla
Rahisi Sana 0
Rahisi Kiasi 0
Sina Hakika 0
Si Rahisi Sana 0
Si Rahisi kabisa 0

Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page