Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kusajili
OFISI INAYOHUSIKA
Wakala ya Usajili wa Biashara na Utoaji Leseni

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Shirika linalomilikiwa na serikali au kampuni ya umma ni chombo cha kisheria kilichoundwa na Serikali kufanya shughuli za kibiashara kwa niaba ya mmliki ambaye ni serikali. Mashirika yanayomilikiwa na serikali yako mengi na yanayo hodhi ya nyenzo na miundombinu kama vile reli, simu, bidhaa za kimkakati na huduma (barua, silaha), maliasili na nishati, biashara nyeti kisiasa, utangazaji, bidhaa zisizo muhimu (vileo) na bidhaa muhimu (huduma za afya).

Masharti:

  • Katiba na kanuni za kampuni

Taratibu:

  • Ada ya maombi Tsh.45,000 kwa mchakato wote wa maombi
  • Lipa Tsh.6,000 kwa ajili ya ushuru wa stempu kwa kila nakala ya katiba na kanuni za kampuni
  • Jaza kwa ukamilifu fomu zote ulizopewa
  • Ambatisha nyaraka zilizoelezwa
  • Wasilisha fomu zote na stakabadhi za malipo

Zingatia:

  • Malipo yote yafanywe kwa Msajili wa Makampuni
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 24-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page