Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kusajili
OFISI INAYOHUSIKA
Shirikisho la Hakimiliki

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Wanachama watakabidhi kazi zao za sanaa kwa chama kwa ajili ya usajili na ulinzi wa pamoja wa hatimiliki. Kukabidhi huko kutakuwa bure baada ya kulipia ada ya kiingilio na mchango wa mwaka.

Masharti:

  • Nakala mbili za diski za CD, VCD, DVD, CASSETTE, TAPE YA VIDEO, KITABU, PICHA, SKRIPTI, MSWADA WA KITABU, NYIMBO/SHAIRI, FILAMU, DRAMA, KICHEKESHO, n.k za kila kazi ya sanaa itakayokuwa na hatimiliki
  • Nakala mbili za picha za pasipoti za mwombaji
  • Nakala ya kitambulisho, pasipoti, kitambulisho cha uraia, cheti cha kuzaliwa cha ndugu/ jamaa wa karibu
  • Majina ya wana kikundi na wawakilishi iwapo ni kikundi, bendi au kwaya
  • Nakala ya mkataba wa makubaliano na wenye hatimiliki wa kazi ya ubunifu
  • Kwa ajili ya mbunifu wa wazo lolote la hatimiliki katika kikundi au kampuni ni lazima aonyeshe uhusiano kwa maandishi kati ya tamko na kikundi/kampuni

Taratibu:

  • Pakua kwenye mtandao na jaza kwa ukamilifu fomu ya maombi kutoka COSOTA
  • Ambatisha nyaraka zote muhimu
  • Ambatisha  nakala ya kazi yako halisi unayokusudia kuisajili
  • Wasilisha fomu yako ya maombi kwenye ofisi ya COSOTA
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 24-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page