Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kujiunga
OFISI INAYOHUSIKA
Mfuko wa Pensheni wa Watumishi wa Umma

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Mfuko wa Pensheni kwa watumishi wa Umma (PSPF) ni Taasisi ya hifadhi ya jamii iliyoanzishwa kwa sharia namba 2 ya mafao ya hitimisho la kazi kwa watumishi wa umma ya mwaka 1999. (The Public Service Retirement Benefits Act No.2 of 1999).

Mtu yoyote aliye katika sekta rasmi na isiyo rasmi anaweza kusajiliwa kuwa mwanachama wa PSPF.

MASHARTI YA KUSAJILIWA

 • Barua ya ajira kwa wale walio katika ajira
 • Picha moja (1) ya rangi (Passport size)
 • Hati ya kubadili jina (iwapo umebadili jina)
 • Hati ya mshahara kwa wale walioajiriwa

UTARATIBU WA KUSAJILIWA

 • Jaza fomu za maombi na kuzirejesha katika ofisi za PSPF zilizo karibu au kwa njia ya mtandao.
 • Mafao yatoewayo na Mfuko

Mafao ya Uzeeni (Old age benefits)

 • Malipo ya kiinua mgongo (Old Age Gratuity)
 • Malipo ya Pensheni (Old Age Pension)

Mafao ya Ulemavu (invalidity Benefit)

 • Malipo ya Kiinua mgongo (Gratuity)
 • Malipo ya Pensheni (Monthly Penssion)

Mafao ya Mirathi (Death Benefit)

 • Malipo ya Kiinua mgongo (Gratuity)
 • Malipo ya Pensheni ya Wategemezi (survivors pension)
 • Rambi rambi ya mazishi (Funeral Grant)
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 26-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page