Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kujiunga
OFISI INAYOHUSIKA
Mfuko wa Pensheni wa Jamii

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Kujiunga na Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii (NSSF), tafadhali fika katika ofisi yoyote ya NSSF iliyo karibu yako kwa zoezi la uandikishaji ukiwa na picha moja ya passport size. Baada ya kuandikishwa utapatiwa kitambulisho cha uanachama kitakachokuwezesha kuanza kuchangia katika akaunti yako ya uanachama.

Kwa wale waajiriwa, mwajiri anaweza kuwasiliana na mkaguzi husika wa eneo lake na kupanga siku ambayo mkaguzi atafika ofisini au katika eneo lolote watakalokubaliana kwaajili ya zoezi la uandikishaji.

Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 27-11-2015
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page