Fomu ya Maoni


   | 
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  
 
Nifanyeje
Soma zaidi » ...
 
 
Mwanzo Nifanyeje Kujiunga
OFISI INAYOHUSIKA
Mfuko wa Afya ya Jamii

THAMANISHA
Inafaa
()
Inafikika Kirahisi
()
 

Wanafunzi watatakiwa wafuate taratibu zifuatazo:

  • Wasajiliwe kwenye taasisi zao husika.
  • Wajaze fomu za usajili za NHIF na taarifa zao binafsi.  Fomu zinapatikana  ofisi za NHIF, taasisi inayohusika na Tovuti ya NHIF.
  • Fomu lazima ziambatishwe na picha mbili za rangi za pasipoti  za hivi karibuni.
  • Fomu zilizojazwa kwa ukamilifu ziwasilishwe kwenye taasisi inayohusika.
  • Kitambulisho cha NHIF kitachukuliwa kwenye taasisi husika.
  • Kuongeza muda wa uanachama wako kila mwaka.
Chanzo: Kamati ya Taarifa za Tovuti Kuu ya Serikali, Taarifa hizi Zilirekebishwa: 28-01-2016
 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page