Visitors Feedback Form


   | 
United Republic of Tanzania  
 
  • Mwl. Julius K. Nyerere
  • Mh. Amani Abeid Karume
How Do I
Read More » ...
 
 
Home Profiles Profile Details

Jenerali Venance Mabeyo

Service History:
2017 - 1970 (Chief of Defence Forces)

Personal Detail
Birth Date:
Birth Place:

Marital Status: MarriedDescription


Jenerali Venance Mabeyo ni Mkuu wa Majeshi wa nane kuliongoza Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tangu alipoteuliwa tarehe 06 February 2017 na Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano, Dk. John Pombe Magufuli.


Jenerali Venance Mabeyo alijiunga na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania tarehe 01 January 1979 na kuhudhuria kozi ya afisa mwanafunzi na kupata kamisheni mwaka 1980 kuwa Luteni Usu.


Jenerali Venance Mabeyo alihudhuria kozi mbalimbali ndani na nje ya nchi, baadhi ya nchi hizo ni Kenya, India, Canada na Marekani
Jenerali Venance Mabeyo katika kulitumikia Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania alishika nyadhifa mbalimbali ikiwemo Mwambata Jeshi nchini Rwanda, Msaidizi wa Mkuu wa Majeshi , Mkuu wa Tawi la Usalama na Utambuzi na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ.


Jenerali Venance Mabeyo ametunukiwa medali mbalimbali

•    Miaka 20 ya JWTZ
•    Medali ya utumishi mrefu.
•    Medali ya miaka 40 ya JWTZ.
•    Medali ya utumishi uliotukuka.
•    Medali ya Comoro na Anjouan.
•    Medali ya miaka 50 ya uhuru
•    Medali ya miaka 50 ya muungano pamoja na
•    Miaka 50 ya JWTZ.


 
Click here to subscribe this page
Subscribe new content on this page