Maliasili na Utalii

Muhtasari

Sekta ya Utalii nchini Tanzania ni moja ya sekta muhimu inayotoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi. Tanzania imebarikiwa kuwa na vivutio vingi vya asili kama vile mandhari za kuvutia, maeneo ya kihistoria na ya kiakiolojia, hifadhi zenye wanyamapori wengi na baionuai mbalimbali, fukwe zisizochafuliwa na wingi wa utamaduni wa makabila 158. Nyanda za juu za kusini na kaskazini zina safu nyingi za milima ya kuvutia hasa yenye urefu wa kati ya mita 500 mpaka mita 1000 katika maeneo yaliyoizunguka. Mlima Kilimanjaro wenye urefu wa mita 5,895 na Meru mita 4,500 inayopatikana kaskazini mashariki mwa Tanzania ni milima iliyotokana na milipuko ya volkano miaka mingi iliyopita, yenye. Mwambao wa bahari una urefu wa zaidi ya kilomita 804 pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba (ambavyo kwa pamoja vinaunda Zanzibar) na kisiwa cha Mafia. Visiwa hivyo vina mkusanyiko wa vivutio vya asili, utamaduni, historia na akiolojia. Maliasili nyingine ni pamoja na Ziwa Viktoria, ziwa la pili kwa ukubwa duniani na chanzo cha mto Nile.

Sehemu hii inatoa taarifa  kuhusu maeneo ya vivutio vya utalii ambayo wananchi wanapenda kuyatembelea yakihusisha maeneo ya hifadhi za wanyamapori, misitu ya asili, mapori ya akiba, utalii wa asili, makampuni ya utalii, jinsi ya kupanga safari kuja Tanzania, huduma za malazi, vyama vya kitalii na taarifa kuhusu safari za ndege.

 

Tours and Safari Operators

One of the most important benefits of Tour Operators is that they have an intimate knowledge of the country and the activities you want to partake in. It is with many years of experience in compiling and conducting tours that they have come to know a country like the back of their hands, which means you get to see and experience the very best in terms of attractions, culture and beauty.
Our Tour Operators are one stop tourism shop that can add immense value to your holiday by providing you with all the services you require under one roof. Be it transfers, transportation, flights, carhire, ferries, trains, exclusive activities, tour guides, day tours, advice or any tourism related matter. A tour operator will be able to assist, making the holiday planning process that much simpler.

For more click this link

Places to Go

We offers visitors a number of tourism products that gives them an opportunity to experience nature in many fascinating ways. These products are wilderness walks, cycling, Mountain climbing, Boat excursion, Chimpanzee trucking/viewing, Chimpanzee habituation experience, Canoeing/ Kayaking, Night game drive, day game drive, Canopy walks, Sports fishing, Paragliding, Mawenzi technical climbing, Mt Kilimanjaro crater camping, Balloon safaris and Horse back riding to mention a few.

Also when visiting our parks, you have an opportunity to enhance your wild experience by enjoying a wilderness walk. This will take you out of your vehicle and allow you to stretch close to nature. Our parks have areas for short walks as well as long walks.

Shirikisho la Utalii Tanzania (TCT)

Ni shirika mwavuli linalowakilisha sekta za biashara binafsi zinazohusika na usafiri na utalii.  TCT inafanya kazi kuhakikisha kuwa kupitia uwakilishi katika ngazi ya taifa, sera pana na mikakati inaridhiwa kwa ajili ya uendelezaji na udumishaji wa mazingira ambapo utalii wa kimataifa na wa ndani utakua na ustawi wa sekta ya biashara  utaweza kufikia ukuaji wenye mafanikio na maendeleo wakati huohuo hulinda urithi wa utamaduni na maliasili wa Tanzania. Kwa maelezo zaidi tembelea Tovuti ya TCT.

Things to Do

Tanzania is one of the top destinations in Africa, you can find wonderful sites, attractions, and more wildlife experiences. As the largest country in East Africa, Tanzania has a lot to offer visitors. It is best known for its expansive areas of wilderness and amazing wildlife, making it the ideal place to go on a safari. For more please visit Things to Do

Accomodation

These are facilities which provide accommodation services to various guests/tourists visiting the parks. The facilities are either park or privately owned. For more please visit Accommodation Listing

Mpangilio